MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI 2024-SAME KILIMANJARO
Posted on: April 27th, 2024Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Same akigawa vyandarua kwa watoto wenye mahitaji maalumu Katika kuazimisha siku ya Malaria duniani 25/4/2024 chini ya Kauli mbiu isemayo "ZERO MALARIA INAANZA NA MIMI, NACHUKUA HATUA KUITOKOMEZA"