Girl in a jacket

MINISTRY OF HEALTH

National Malaria Control Programme (NMCP)

Girl in a jacket

MAADHIMISHO SIKU YA MALARIA DUNIANI 2024 - BUSEGA

Posted on: April 27th, 2024

Tulipokuwa tunafanya siku ya maadhimisho ya malaria duniani.Mheshimiwa .Mkuu wa wilaya Halmashauri ya Busega akifanya usafi wa mazingira  katika Hosptali ya Wilaya ya Busega na timu ya watumishi wa Halmashauri pamoja na wananchi ya kata ya Nyashimo.usafi wa mazingira ni afua mojawapo ya kupambana na malaria picha.ya kwanza aliyeshika jembe analima nyasi amevaa nguo nyeusi ni Mheshimiwa Mkuu wa wilaya.hongera kiongozi wetu kuwa mfano kwa jamii.

 Kauli mbiu yetu Huduma za Afya kwa kuzingatia uhitaji jinsia na haki kwa wote.ziro malaria inaanza  na Mimi

}