UZINDUZI WA KAMPENI YA UGAWAJI WA VYANDARUA KWENYE KAYA UNAENDELEA KATIKA VIWANJA VYA SHULE YA MSINGI MPWAPWA WILAYA YA NEWALA MKOANI MTWARA
Posted on: November 30th, 2022
Uzinduzi wa kampeni ya ugawaji wa vyandarua kwenye kaya unaendelea katika viwanja vya shule ya msingi Mpwapwa wilaya ya Newala mkoani Mtwara.Mgeni rasmi wa uzinduzi huo ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbasi Ahmed