Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amesema mifumo ya huduma za matibabu kwa wagonjwa inatakiwa isomane kuanzia kwenye Zahanati hadi Hospitali za Rufaa ili kurahisisha huduma hizo kupatikana... Read More
News
Na WAF - TABORA,Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amezihasa Kamati za Ulinzi na Usalama nchini kuona umuhimu wakuifanya ajenda yakutokomeza Malaria iwe yakudumu kwenye vikao vya maamuz... Read More
Tulipokuwa tunafanya siku ya maadhimisho ya malaria duniani.Mheshimiwa .Mkuu wa wilaya Halmashauri ya Busega akifanya usafi wa mazingira katika Hosptali ya Wilaya ya Busega na timu ya ... Read More
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Wilaya ya Same akigawa vyandarua kwa watoto wenye mahitaji maalumu Katika kuazimisha siku ya Malaria duniani 25/4/2024 chini ya Kauli mbiu isemayo "ZERO MALARIA INA... Read More
Na WAF – Dar Es Salaam.Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amezindua rasmi Baraza la Taifa la Kutokomeza Malaria nchini ambalo litasaidia kuhamasisha upatika... Read More
Na WAF – Dar Es Salaam.Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushirikiana na wadau wa Sekta ya Afya imepiga hatua kubwa kwenye mapambano dhidi ya ugonjwa wa malaria na kufanikisha ... Read More
Na.WAF, Dar es SalaamWaziri wa Afya Mhe.Ummy Mwalimu leo Aprili 2, 2023 amesaini hati ya makubaliano kwa kushirikiana na Kampuni ya SCJohnson ya nchini Marekani katika kupambana na ugonjwa w... Read More
Na WAF – DodomaKatibu Mkuu wa Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe amewataka waratibu wa Malaria nchini kuongeza ubunifu na kuweka mikakati itakayosaidia kutokomeza ugonjwa wa Malaria nchini.... Read More
Viongozi wa Serikali za Mitaa nchini wametakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha wananchi kufanya usafi wa mazingira kwenye maeneo yao pamoja na kufukia madimbwi yote ili kuteketeza m... Read More
Na Englibert Kayombo WAF - Kibaha, Pwani.Serikali kwa kushirikiana na Global Fund bado zinaendela kukabiliana na magonjwa ya Ukimwi, Kifua Kikuu na Malaria kwa kuhakikisha matibabu ya magonj... Read More