Serikali imetangaza mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria nchini, huku takwimu zikionesha kupungua kwa maambukizi kwa asilimia 30 kutoka asilimia 8.1 mwaka 2022 hadi... Read More
Serikali imetangaza mafanikio makubwa katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria nchini, huku takwimu zikionesha kupungua kwa maambukizi kwa asilimia 30 kutoka asilimia 8.1 mwaka 2022 hadi... Read More
Kuelekea Siku ya Malaria Duniani, Taasisi ya Afya ya Ifakara (Ifakara Health Insitute) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya na Wadau, imeendesha jukwaa la Malaria (Malaria forum) lililofanyika... Read More
Wakuu wa Wilaya za Handeni na Kilindi mkoani Tanga wamezindua kampeni ya ugawaji wa vyandarua vyenye dawa katika maeneo yao. Kampeni hiyo inalenga kuimarisha mapambano dhidi ya ugonjwa wa ma... Read More
Serikali ya Tanzania imezindua rasmi Mjadala wa Kitaifa (Country Dialogue) wa siku mbili kwa ajili ya kuandaa andiko la kuomba fedha kupitia ufadhili wa Mfuko wa Dunia wa Kupambana na UKIMWI... Read More
Timu ya wataalam kutoka Mfuko wa Dunia wa Kupambana na Magonjwa ya Malaria, UKIMWI na Kifua kikuu leo tarehe 25 Mwezi Machi,2026 imekutana na wataalam kutoka Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Mal... Read More
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Mhe. Adam Kighoma Malima amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vyandarua vyenye dawa vinavyotolewa na Serikali ya Tanzania bila malipo kwa wananchi kupitia kampeni ya ... Read More
Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dkt Elizabeth Nyeme, amewahimiza washiriki wa mafunzo ya utekelezaji wa afua ya unyunyiziaji wa viuadudu vya kibaiolojia kuhakikisha wanatumia kikamilifu ujuzi ... Read More
Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria (NMCP) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI) pamoja na Wadau inatekeleza af... Read More
Mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji ngazi ya Mkoa na Halmashauri katika kutekeleza afua ya kuangamiza viluilui vya mbu kwa kutumia viuadudu vya kibaiolojia yameendelea kutolewa kwa Wataala... Read More
Wizara ya Afya kupitia Mpango wa Taifa wa Kudhibiti Malaria kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wanafanya kikao kazi muhimu cha mapitio na uandaaji wa Mpango Mkakati mpya wa Malaria wa mwak... Read More